XXXXXX: Je nani hasa ni baba wa Yusuf (baba yake Yesu)? Ukisoma hapa Mathayo 1:16 inasema ni Yakobo na hapa Luka 3:23 inasema ni Eli.Haya waalimu,mitume,manabii,marabi,wachungaji na wainjilisti na mabawabu mtori huo
XXXXXX :Huu sio mtori kama unavyouita bali ni mfupa uliokomaa haswa. Majibu yake ni ya kiuanazuoni zaidi kuliko kiroho. Pia kwa mtazamo wangu yanaweza yasijenge sana kiroho japo ni ya muhimu pia kuyajua.
Kuna simulizi nyingi za ki-theologia katika suala hili. Cha msingi mtu asitatizwe na ubaba haswa wa Yusufu (Legal father wa YESU), bali atambue kuwa dhima kuu hapa ni kuwa Kristo Yesu ukoo wake ukianzia kwa Abrahamu vilipita vizazi 14 mpaka Daudi. Toka kwa Daudi mpaka Israeli walipochukuliwa utumwani ni vizazi 14, na toka walipokuwa utumwani mpaka kuzaliwa kwa Yesu ni vizazi 14 vingine (Math 1:17).Vizazi vimegawanywa hivyo ili kurahisisha ktk suala la kumbukumbu lakini pia ukivitaka vyote waweza kuvipata kwa majina yake ndani ya Biblia.
1. Abraham David Josiah
2 Isaac Solomon Jeconiah
3 Jacob Rehoboam Shealtiel
4 Judah Abijah Zerubbabel
5 Perez Asa Abiud
6 Hezron Jehoshaphat Eliakim
7 Ram Joram Azor
8 Amminadab Uzziah Zadok
9 Nahshon Jotham Achim
10 Salmon Ahaz Eliud
11 Boaz Hezekiah Eleazar
12 Obed Manasseh Matthan
13 Jesse Amon Jacob
14 David Josiah Joseph
Wakati Mathayo anaandika kulingana na Wafalme akimuonesha Yesu - Masihi kama mfalme wa wayahudi, Luka anaandika majina ambayo hayana wafalme wengi na wengine hata hawakuweza kudhania.Anaanza na Nathan mwana wa Daudi (Luke 3) Kifupi ni kwamba YESU alizaliwa toka ukoo wa Daudi aliyekuwa rafiki yake MUNGU.
Mengi yanaweza semwa hapa, hata hivyo yote yatakuwa ni kitheologia zaidi kuliko uhalisia.
XXXXX: Rabi XXXXXX majibu yako ni mazuri sana kwa kuulainisha huu mfupa na kuufanya kuwa kama urojo wa forodhani.Nakubaliana na uchambuzi wako.Kwa kuongezea ni kwamba wakati Mathayo anaandika kwa kutaja ukoo wa YESU kupitia kwa baba yake wa duniani Yusuf , Dr. Luke yeye kwa kuwa alifanya research ya kutosha ameandika pia na kutaja hata watu waliokuwa upande wa mama yake YESU yaani Mariam. Na hapa tunaona akimtaja Eli ambaye ametokea upande wa mama yake.....haya wapendwa karibuni tule mtori....
XXXXXX:Sawa kabisa Snr. Apostle XXXXXXX na hapo ndipo inapokuja discussion nyingine ndio maana nikasema mjadala huu ni wa kitheolojia zaidi. Ukiangalia namna ambavyo Luka anaandika, ni kana kwamba geneology ya YESU iko upande wa mama zaidi kuliko upande wa baba (Yusufu. Hii nayo ni debate kubwa inayoendelea baina ya wanazuoni wa Biblia ulimwenguni kwa miaka mingi.
Going deeper to the topic, If you look closely, you will find that in Luke 3:23 one needs to explain the words "son of". This is because "son of" is only assumed, but not actually in the Greek text. I believe it is better to assume that Joseph is "of Eli" as his "SON IN LAW", not his son. Thus, Luke's genealogy is of Mary, not of Joseph. To support this are Luke's words that Jesus was "being, as was supposed the son of Joseph". The word "son" does occur in this context. But Luke goes on to give the genealogy of Mary, who was indeed the natural line of heritage (Jesus being born of a virgin). In other words, Luke says "many think that Jesus is the natural son of Joseph, but in reality He is through the line of Mary, who is of Eli, of Matthat, etc."
Thus, Luke 3 carries the natural genealogy of Jesus while Matthew 1 traces the legal genealogy. Why is this important? Matthew is writing to Jews, who would want to know that Jesus is a legal heir to David's throne. Luke is writing to Gentiles who would want to know that Jesus is both a Son of David but also fulfills the Genesis 3:15 promise of the Seed of a woman (thus Luke's genealogy goes back to Adam).
So, Eli is not the only inconsistency. Ukiangalia vizuri kila jina toka kwa Eli kurudi kwa Daudi ni tofauti katika injili ya Mathayo. However, every name from David back to Abraham is consistent with Matthew's version! This shows us that, both naturally and legally, Jesus was the descendent of David. Mary came from David's son Nathan, while Joseph came from David's son Solomon. The consistency of the two genealogies from Abraham to David is evidence that both of these genealogies can be trusted.
Through whichever family tree you follow, Jesus will remain the son of David! Na kwa hili ndo maana hata wale wa dini ya Wayahudi ambao kwa sehemu kubwa ndo wamekuwa wakichallenge sana wafuasi wa dini ya kikristo hapa hawana ubishi na wanakubaliana na hiyo historia.
XXXXX:Ndio maana baraza la mitume likakupa upadirisho wa rabi maana kwa uchambuzi huu yakinifu uliokaa kitheolojia zaidi na umakini wa hali ya juu.Nadiriki kusema kuwa rabi XXXXXXX ni zaidi ya mwanazuoni...nimependa hii context hapa .".......Luke 3 carries the natural genealogy of Jesus while Matthew 1 traces the legal genealogy. Why is this important? Matthew is writing to Jews, who would want to know that Jesus is a legal heir to David's throne. Luke is writing to Gentiles who would want to know that Jesus is both a Son of David but also fulfills the Genesis 3:15 promise of the Seed of a woman (thus Luke's genealogy goes back to Adam)...." nadhani hiyo imeufanya huu mfupa hata usiwe mtori bali ni maji ya baridi ya kunywa.Kwa kifupi ni kwamba Dr. Luka anamwandikia Theofilo mtukufu, wakati Mtaalamu wa kodi Mathayo mbaye kwa asili ni mlawi anawaandikia wayahudi ili wamkubali YESU.Kwa hiyo kwa mosaic law YESU anafit kabisa na kwa kibaiolojia ambayo Dr. Luka kwake ni muhimu na pia anayeandikiwa Theofilo mtukufu (Researcher -pengine ndiye aliyemfundisha Dr.Luka au kumdhamini masomo yake) .Lazima Dr. Luka athibitishe kuwa YESU anatokana na King David na Abrhahamu kibaiolojia....Hili somo linaitwa Christology.....litakuwepo kwenye kile chuo chetu tarajiwa.....
0 comments:
Post a Comment