tag:blogger.com,1999:blog-6323285911265401436.post183229741050424350..comments2023-11-05T15:47:08.150+03:00Comments on KARIBU MLIMA SAYUNI...UWANJA WA UWAZI NA UKWELI KUHUSU MASUALA YOTE YA KIBIBLIA NA UKRISTO: UMUHIMU WA KANISA KATIKA SIASA NCHINI TANZANIAUnknownnoreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-6323285911265401436.post-79834704483212902692008-03-08T06:51:00.000+03:002008-03-08T06:51:00.000+03:00Ubarikiwe mtumishi umenena vyema na sawa.Tatizo ni...Ubarikiwe mtumishi umenena vyema na sawa.Tatizo ni kuwa hao watakaoingia kwenye siasa hawatakiwi kucompromise na wenzao wanaoenda kinyume na uadilifu.Problem je utapita wapi bila kutoa rushwa ili uwe kiongozi???naamini na na nakubali uliyosema.NADHANI NJIA NZURI NI KUPIGA VITA VYA MBALI VITA VITAKATIFU, KUSEMA KUKARIPIA KUONYA BILA KUOGOPA MAPAK PALE VIONGOZI WA SERIKALI NA VYAMA WATAKAPOFIKIA HATUA YA KULIOGOPA KANISA THEN KUTOKA HAPO TUTA KUWA NA AMANI VIONGOZI WETU AU KANISA KUJITOSA MOJA KWA MOJA KWENYE SIASA KIASI CHA KUCHUKUA HATA UONGOZI WA NCHI, HII NI STRATEGY YA KUFIKI APALE UNAPOSEMA.WACHUNGAJI MAASKOFU WAAMKE SASA.ni maoni yangu na nitapublish kuunga mkono hoja yako na ikipidi LEMA tuanze wenyewe.nashangaa wanaojiita walokole wanashindwa nguvu na kanisa la katoliki angalau huwa wanasema.<BR/><BR/>Kalenge-CanadaAnonymousnoreply@blogger.com