tag:blogger.com,1999:blog-6323285911265401436.post3321313625641605246..comments2023-11-05T15:47:08.150+03:00Comments on KARIBU MLIMA SAYUNI...UWANJA WA UWAZI NA UKWELI KUHUSU MASUALA YOTE YA KIBIBLIA NA UKRISTO: Wito Kumwombea na kumtia moyo dada AngelaUnknownnoreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-6323285911265401436.post-14747816460995660362008-08-16T15:59:00.000+03:002008-08-16T15:59:00.000+03:00Usiwe kama unampoza huyo Angela swala linakuja kwa...Usiwe kama unampoza huyo Angela swala linakuja kwamba angela kwa upande mmoja au mwingine si binti mdogo na wala sio mkubwa ingawa kwa sheria za nchi yetu ni ameshafikia kuitwa mtu mzima, sasa swala ni kwamba kwani Angela akati anashirikia hayo mashindano baba yake hakuwepo au watu wakubwa wa karibu yake hawakuwepo? hapo inaonyesha jinsi gani baadhi ya wanandini wanashindwa kusimamia mambo yanayohusu na kuzunguka jamii zao. Lawama kwa upande mmoja au mwingine atupiwe pia baba au mama yake.Anonymousnoreply@blogger.com