Rais Jakaya Kikwete amemtea na kumwapisha mh. Mizengo Pinda kuwa waziri mkuu jumamosi hii kuchukua nafasi ya Edward Lowasa aliyejiuzulu kutokana na kashfa ya Richmond maarufu kwa jina la "richmoduli". Rais Jakaya Kikwete akimwapisha Waziri mkuu mpya wa Tanzania mh. Mizengo Pinda aliyeshikilia Biblia Takatifu akila kiapo.
Leo hii rais Kikwete anatarajiwa kutangaza
baraza jipya la mawaziri baada ya kulivunja baraza lote lilikuwa chini ya waziri mkuu wa zamani Lowasa.
baraza jipya la mawaziri baada ya kulivunja baraza lote lilikuwa chini ya waziri mkuu wa zamani Lowasa.Waziri mkuu mh. Mizengo Pinda akikumbatiana na Waziri mkuu aliyejiuzulu mh. Edward Lowasa
No comments:
Post a Comment