Kayala na mkewe wakimwabudu Mungu wakati wa ibada ya kuabudu.
Siku ya mahafali hayo, Kayala alipewa zawadi ya kufanya vizuri katika masomo ya kitumishi kwa kushika nafasi ya pili kati ya wahitimu 25.
Kayala na mkewe wakimchezea Mungu wakati wa ibada ya kusifu.
Kabula J.George akimwabudu Mungu siku ya mahafali.
Kabula akimsifu Mungu kabla ya kupakwa mafuta ya kuwa watumishi.
Kayala na mkewe (kulia) wakimwimbia Mungu pamoja na mwimbaji mwenzao kutoka Moshi, Renata Samba.
Kayala akiwa katika pozi baada ya kupewa zawadi ya kufanya vizuri darasani.
Source: globalpublisherstz.info
No comments:
Post a Comment