BAADHI YA PICHA ZA MLIPUKO WA BOMU KANISANI KATOLIKI ARUSHA

Polisi wakijaribu kuchunguza eneo bomu lilipolipukia leo asubuhi wakati wa misa ya kuzindua kigango hicho.iliyo katika kata ya olasiti na parokia ya burka

Majeruhi wa tukio hilo wakiwa katika hali mbaya..
HALI YA ENEO MLIPUKO WA BOMU ULIPOTOKEA KATIKA KANISA KATOLIKI HUKO ARUSHA
Hali ya eneo mlipuko ulipotokea

Waumini na wananchi wengine wakiwa na shauku ya kujua kilichotokea
ANGALIA PIA KWENYE YOU TUBE HAPA CHINI

No comments:
Post a Comment