Sunday, April 6, 2008

Na habari njema ya ufalme itahubiriwa kila mahali...

Na hapo ndipo ule mwisho utakapofika...




Wanasayuni nipo wilayani Mpwapwa,mkoani Dodoma kwa mapumziko ya siku moja.Hapa ni porini wilayani Kongwa na gari yetu ilituharibikia njiani na nilikutana na basi lenye maandishi hayo yalinifurahisha sana.

Injili inahubiriwa kila mahali kwa njia yeyote.

6 comments:

savedlema said...

Ooh Mtade, so sory kwa matatizo ya gari, May the almighty show Himself that He is really ALMIGHTY.Amen.

Anonymous said...

Ni kweli kabisa Injili itahubiriwa kila kona kwa njia yoyote ile, siku hizi hata kwenye khanga kuna maneno ya injili. Mungu wetu yupo HAI kazi za mikono yake, nguvu na yake ya ajabu ni INJILI tosha.

Anonymous said...

nashukuru sana mtumishi Lema,atukuzwe Mungu kwa kutulinda na kutufikisha salama na sasa nipo dar nimefika salama.Mungu akubariki sana kwa maombi yako.

Mtade

Anonymous said...

Kumbe mtade ni home boy wangu...!Haya mpendwa umetuletea nini kutoka mpwapwa.Nasikia siku hizi kuna mogodi imegunduliwa huko pesa nje nje..nipe habari zaidi

mwaluko,
kigoma

Anonymous said...

Ni vyema sasa wana sayuni tuiombee nchi yetu hata kwa habari ya barabara zetu, inasikitisha kuona hata makao makuu ya nchi yetu kuwa na barabara za vumbi,, naomba kutoa hoja!!!

Anonymous said...

hahahaha, Mnanifurahisha wana Sayuni, Barikiweni