Friday, October 29, 2010

Ridhiwani Atua Zenj Kumpa Tafu Masauni


Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Ridhiwani Kikwete (kulia) na Mwenyekiti wa zamani wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) ambaye ni Mgombea ubunge wa Jimbo la Kikwajuni Zanzibar kupitia CCM, Hamad Masauni Yusufu wakiungana na wanaCCM wenzao kuomba dua baada ya kumaliza mkutano wa kampeni za kumnadi mgombea huyo jimboni humo.

Source: issamichuzi.blogspot.com

1 comment:

Anonymous said...
This comment has been removed by a blog administrator.