E-Club ni nini?
Usikose hapa hapa sayuni..inakuja kuleta mapinduzi ya kifikra mapema iwezekanavyo
Hii ni Blogu ya watu wote...uwe huru kuchangia neno lolote unaloona linafaa kwa ajili ya kuujenga mwili wa Kristo
Saturday, June 20, 2009
Thursday, June 11, 2009
Kongamano la Wajasiliamali lafana sana
+Gaudance+Kayombo+(kati+kati)+akisisitiza+jambo+katika+Semina+ya+Wajasiriamali+iliyoandaliwa+na+Digital+Brain.+Kushoto+ni+mkewe+Leah+Kayombo,+kulia+ni+Mkurugenz.jpg)
Katika kongomano hilo ambalo wajasiliamali takribani ya 120 walihudhuria na kupewa mafunzo ya kina kabisa jinsi ya kufanikiwa kibiashara na kubadirishwa mtazamo wao kutoka ule wa "utumwa" wa kuajiriwa na kuwa na ule wa "kifalme" wa kujiajiri na kumiliki biashara.

Walimu mbalimbali walifundisha masomo yapatayo 8 na kuwafanya wahudhuriaji kutaka DigitalBrain waandae kongomano jingine kama hilo mapema iwezekanavyo.
Wahudhuriaji wengi walitoka hapa Dar,Kibaha,Arusha,DRC-Congo na hata Ufaransa.
Habari zaidi zitafuata hapo baadaye.
Subscribe to:
Posts (Atom)