Tuesday, January 18, 2011

Mchungaji atuhumiwa

Mchungaji wa Kanisa la Gospel Revival Assemblies of God, lililopo Kiluvya Madukani, Jijini Dar es Salaam, Yusuph Abdalah, anasakwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumpachika mimba mwanafunzi wa kidato cha nne wa Shule ya Sekondari Kiluvya.

Akizungumza na Mwandishi wetu hivi karibuni, mama mzazi wa mwanafunzi huyo, Mary Mdoe alisema kuwa, yeye pamoja na familia yake, wote walikuwa wakiabudu kwa mchungaji Yusuph na alikuwa mmoja wa wazee wa kanisa hilo.

Kufuatia familia hiyo kuabudu kanisani hapo, mchungaji huyo alianza kufanya mazoea ya kutembelea familia hiyo ambapo hakuna aliyewahi kumtilia shaka kama anaweza ‘kutafuna kondoo’ anaowachunga.
Mama wa mtoto huyo alidai kuwa siku za hivi karibu alimshtukia binti yake akiwa katika hali iliyomtia wasiwasi hivyo ilimbidi akanunue kipimo maalum cha ujauzito.

“Baada ya kumpima nilibaini kuwa mwanangu ni mjamzito, nikampeleka tena kupimwa kwa Mganga Mkuu wa Hospitali ya Tumbi Kibaha, Pwani ambapo alithibitika kuwa na ujauzito ndipo nilipombana amtaje aliyembaka na kumpachika mimba aliyempachika,” alisema mama huyo.

Bi. Mdoe alisema alipigwa na butwaa baada ya binti yake kumtaja Mchungaji Yusuph ambaye ni kiongozi katika kanisa lao.

Kufuatia taarifa hizo, Bi. Mdoe na mumewe Oswald Mdoe walikimbilia Kituo cha Polisi cha Kibaha Maili Moja kutoa taarifa ambapo polisi wa kituo hicho walimfuata mchungaji huyo na ‘difenda’ lakini walikuta tayari ameshauza mabenchi ya kanisa hilo na kutorokea kusikojulikana.
“Baada ya kukuta mchungaji ametoroka, polisi hao walimkamata mkewe Grace Yusuph, na kumtia kwenye difenda kisha kumpeleka Kituo cha Polisi cha Tumbi kwa mahojiano zaidi kuhusiana na tukio hilo,” alidai mama huyo.

Aliongeza kuwa, polisi baada ya kumfanyia mahojiano mke wa mchungaji huyo, walifungua kesi kituoni hapo kwa jalada namba AMM/RB/2152/2010.

Mama mzazi wa mtoto huyo alidai kuwa, alimpigia simu mchungaji huyo na kumlaumu kwa jambo alilofanya lakini aliomba msamaha kwa yaliyotokea na kudai ni ibilisi alimpitia na haikuwa nia yake.

Hata hivyo habari zimasema kuwa waumini wa kanisa hilo walisikitishwa sana na kitendo hicho na wengine kuangua vilio.
Kamanda wa Polisi mkoani Pwani, Absalom Mwakyoma, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema analivalia njuga ili sheria ichukue mkondo wake.

Friday, January 14, 2011

The Secret of Being Great-11

The "I" of you is not the physical body; that is simply an instrument which the "I" uses to carry out its purposes; the "I" cannot be the Mind, for the mind is simply another instrument which the "I" uses with which to think, reason, and plan.

The "I" must be something which controls and directs both the body and the mind; something which determines what they shall do and how they shall act. When you come into a realization of the true nature of this "I", you will enjoy a sense of power which you have never before known.

Your personality is made up of countless individual characteristics, peculiarities, habits, and traits of character; these are the result of your former method of thinking, but they have nothing to do with the real "I."

When you say "I think" the "I" tells the mind what it shall think; when you say "I go" the "I" tells the physical body where it shall go; the real nature of this "I" is spiritual, and is the source of the real power which comes to men and women when they come into a realization of their true nature.

The greatest and most marvelous power which this "I" has been given is the power to think, but few people know how to think constructively, or correctly, consequently they achieve only indifferent results. Most people allow their thoughts to dwell on selfish purposes, the inevitable result of an infantile mind. When a mind becomes mature, it understands that the germ of defeat is in every selfish thought.


Call Me on +255-713-427857 for audio and video books for success.
Email : miwlc@yahoo.com

Thursday, January 13, 2011

The Secret of Being Great-10

MAN’S brain, body, mind, faculties, and talents are the mere instruments he uses in demonstrating greatness; in themselves they do not make him great. A man may have a large brain and a good mind, strong faculties, and brilliant talents, and yet he is not a great man unless he uses all these in a great way. That quality which enables man to use his abilities in a great way makes him great; and to that quality we give the name of wisdom. Wisdom is the essential basis of greatness.

Wisdom is the power to perceive the best ends to aim at and the best means for reaching those ends. It is the power to perceive the right thing to do. The man who is wise enough to know the right thing to do, who is good enough to wish to do only the right thing, and who is able and strong enough to do the right thing is a truly great man. He will instantly become marked as a personality of power in any community and men will delight to do him honor.

Wisdom is dependent upon knowledge. Where there is complete ignorance there can be no wisdom, no knowledge of the right thing to do. Man’s knowledge is comparatively limited and so his wisdom must be small, unless he can connect his mind with knowledge greater than his own and draw from it, by inspiration, the wisdom that his own limitations deny him. This he can do; this is what the really great men and women have done. Man’s knowledge is limited and uncertain; therefore he cannot have wisdom in himself.

Only God knows all truth; therefore only God can have real wisdom or the right thing to do at all times, and man can receive wisdom from God


Call Me on +255-713-427857 for audio and video books for success.
Email: miwlc@yahoo.com

Mstahiki meya wa jiji la mwanza

MTUMISHI CHARLES CHINCHIBELA ACHAGULIWA KUA NAIBU MSTAHIKI MEYA WA JIJI LA MWANZA

Mh Charles Chinchibela wa kwanza kushoto akifuatilia uchaguzi ulivyokua ukienda

Wakati alipokua akizunguka mashuleni na kuhudumu Neno la MUNGU kwa vijana wa Ukwata alikua akisema “siku moja ntakuja kua mwanasiasa mkubwa, napenda kuja kua mbunge”. Wengi wa wanafunzi walikua wakicheka lakini yeye alimaanisha. Amehubiri na kufungua matawi ya Ukwata mengi katika jiji hilo na alwahi kuwa mwenyekiti wa ukwata mkoa pindi alipokua akisoma Mwanza sec.
Tarehe 5/1/2011 katika ukumbi wa Halmashauri ya jiji la Mwanza Mh charles Chinchibela diwani wa kata ya Mahina kupitia chadema alichaguliwa kushika wadhifa huo na kuapishwa tare10/1/2011.Charles maarufu mashuleni kwa jina la Chinchi alimshinda mpinzani wake toka cuf kwa ……Haikua nyepesi kwa Chinchibela kufika hapo kwa kua Mwaka 2000 na 2005 aligombea udiwani wa kata hiyo na lakini kura hazikutosha mpaka uchaguzi wa mwaka jana ambapo aliibuka kidedea.
MUNGU wetu hujibu mara atafutwapo kwa bidii (2Nyakat 7:14),na akijibu hujibu kwa kishindo kikuu. Cha msingi hapa kwenye safari ya kila mtu, lile ambalo MUNGU amekwambia ndani ulifanye wee lifanye kwa bidii na kwa uaminifu wote,
na katikati ya safari atatokea.Yeye alieianzisha safari yako atatokea na kuikamilisha.

Chumba cha Uchaguzi ambapo zoezi lilifanyika kwa utulivu
Kwa hisani ya blogu ya hossana

Wednesday, January 12, 2011

New earth-like Planet discovered

An artist's impression of  Gliese 581g
Artist's impression of the inner four planets of the Gliese 581 system and their host star, a red dwarf only 20 light years from Earth. Image: Lynette Cook/NSF/AP

Astronomers have discovered a potentially habitable planet of similar size to Earth in orbit around a nearby star.

A team of planet hunters spotted the alien world circling a red dwarf star called Gliese 581, 20 light years away.

The planet is in the "Goldilocks zone" of space around a star where surface temperatures are neither too hot nor too cold for liquid water to form.

"Our findings offer a very compelling case for a potentially habitable planet," said Steven Vogt, an astronomer at the University of California, Santa Cruz. "The fact that we were able to detect this planet so quickly and so nearby tells us that planets like this must be really common."

If confirmed, the planet would be the most Earth-like that has ever been discovered in another solar system and the first strong contender for a habitable one.

More than 400 exoplanets have been discovered by astronomers, but most are gas giants, like Jupiter, that would be inhospitable to life as we know it.

Astronomers used the Keck telescope in Hawaii to study the movement of Gliese 581 in exquisite detail and from their observations inferred the presence of a number of orbiting planets. The team report two new planets in the Astrophysical Journal, bringing the total number known to be circling the star to six.

One of the planets, named Gliese 581g, has a mass of three to four times that of Earth and takes 37 days to orbit the star. Astronomers believe it is a rocky planet with enough gravity to retain an atmosphere.

Unlike the previously discovered planets, Gliese 581g lies squarely in the region of space were life can thrive. "We had planets on both sides of the habitable zone — one too hot and one too cold — and now we have one in the middle that's just right," Vogt said.

One side of the planet is always facing the star, much as one side of the moon constantly faces Earth. This means that the far side of the planet is constantly in darkness. The most habitable region of the planet would be the line between the light and dark regions.

"Any emerging life forms would have a wide range of stable climates to choose from and to evolve around, depending on their longitude," Vogt said.

The average temperature on the planet is estimated to be between -31 to -12C, but the ground temperature would vary from blazing hot on the bright side and freezing on the dark side.

"The number of systems with potentially habitable planets is probably on the order of 10 or 20 percent, and when you multiply that by the hundreds of billions of stars in the Milky Way, that's a large number. There could be tens of billions of these systems in our galaxy," said Vogt.


Mwanza kwa YESU

UZINDUZI WA KITUO CHA REDIO CHA HHC ALIVE FM MWANZA

Jumapili iliopita katika uwanja wa ccm kirumba jijini Mwanza, kulifanyika uzinduzi wa aina yake wa kituo kipya cha redio ya injiri ijulikanayo kama HHC ALIVE FM kupitia masafa ya 91.9fm. Redio hii iko chini ya kanisa la Highway of Holiness Church (HHC) lililo chini ya askofu Eugen Mulisa. HHC Alive FM maarufu kama SAUTI YA TUMAINI ilizinduliwa na Mkuu wa wilaya ya Nyamagana Mh Said Ally pamoja na jopo la maaskofu na wachungaji mbalimbali jijini hapa.
Mkurugenzi wa HHC Alive Fm Askofu Eugen Mulisa akitoa historia fupi

Kwa mujibu wa askofu Mulisa, maono ya kua na redio hiyo aliyapata mwaka 1996 na yametimia mwaka 2010 mwishoni hivyo ilichukua takribani miaka kumi na nne.


Yaliyotukia siku hiyo yalikua kama ifuatavyo
Neema Mwaipopo toka Dar-es-Salaam akiimba siku hiyo


Jopo la Maaskofu na wachungaji waliokuwepo kushuhudia tukio zima,mwenye kipaza sauti ni mwenyekiti wa umoja wa wachungaji jijini Mwanza Askofu Charles Sekelwa.


Umati mkubwa wa watu walijitokeza kuungana na 91.9 sauti ya tumaini

Kihaile Band nao walikuwepo

Eeeee hee he hee, My GOD is Good oooooo x 2
Everything is Double Double………….
Addo Nzwalla the keyboardist na mtangazaji wa kwa Neema Fm aliongoza kuimba nyimbo hiyo

Watu ilibidi washuke jukwaani na kwenda kucheza na Neema Mwaipopo

Baadhi ya watangazaji wa HHC ALIVE FM kutoka kushoto ni Nyamiti Kayora, Penina Kajura, Lady Carol pamoja na Meneja wa HHC ALIVE FM James Maganga.


Mc wa shughuli Baba Paroko Mtumishi Job Kabwika alisimamia show

Kihaile Band wakiwa Stejini

Raaaaaha Jipe Mwenyeweeeeeeeeeeeeee

Mch Magashi (Faith Word Church-Mwanza) wa kwanza kulia, akifuatiwa na Mch Jacob Kituu pamoja na Askofu Irene Nzwalla

Tuesday, January 4, 2011

The Secret of Being Great-9

YOU are not barred from attaining greatness by heredity. No matter who or what your ancestors may have been or how unlearned or lowly their station, the upward way is open for you. There is no such thing as inheriting a fixed mental position; no matter how small the mental capital we receive from our parents, it may be increased; no man is born incapable of growth.

Heredity counts for something. We are born with subconscious mental tendencies; as, for instance, a tendency to melancholy, or cowardice, or to ill temper; but all these subconscious tendencies may be overcome. When the real man awakens and comes forth he can throw them off very easily. Nothing of this kind need keep you down; if you have inherited undesirable mental tendencies, you can eliminate them and put desirable tendencies in their places. An inherited mental trait is a habit of thought of your father or mother impressed upon your subconscious mind; you can substitute the opposite impression by forming the opposite habit of thought. You can substitute a habit of cheerfulness for a tendency to despondency; you can overcome cowardice or ill temper.

It has been found that a small brain section, with many fine and active cells, gives as powerful expression to faculty as a larger brain with coarser cells; and it has been found that by turning the Principle of Power into any section of the brain, with the will and purpose to develop a particular talent, the brain cells may be multiplied indefinitely.

Any faculty, power, or talent you possess, no matter how small or rudimentary, may be increased; you can multiply the brain cells in this particular area until it acts as powerfully as you wish. It is true that you can act most easily through those faculties that are now most largely developed; you can do, with the least effort, the things which “come naturally”; but it is also true that if you will make the necessary effort you can develop any talent. You can do what you desire to do and become what you want to be. When you fix upon some ideal and proceed as hereinafter directed, all the power of your being is turned into the faculties required in the realization of that ideal; more blood and nerve force go to the corresponding sections of the brain, and the cells are quickened, increased, and multiplied in number. The proper use of the mind of man will build a brain capable of doing what the mind wants to do.

The brain does not make the man; the man makes the brain. Your place in life is not fixed by heredity. Nor are you condemned to the lower levels by circumstances or lack of opportunity. The Principle of Power in man is sufficient for all the requirements of his soul. No possible combination of circumstances can keep him down, if he makes his personal attitude right and determines to rise. The power, which formed man and purposed him for growth, also controls the circumstances of society, industry, and government; and this power is never divided against itself. The power which is in you is in the things around you, and when you begin to move forward, the things will arrange themselves for your advantage

There is a Principle of Power in you; if you use it and apply it in a certain way you can overcome all heredity, and master all circumstances and conditions and become a great and powerful personality.

Call Me on +255-713-427857 for audio and video books for success.
Email miwlc@yahoo.com