UZINDUZI WA KITUO CHA REDIO CHA HHC ALIVE FM MWANZA
Jumapili iliopita katika uwanja wa ccm kirumba jijini Mwanza, kulifanyika uzinduzi wa aina yake wa kituo kipya cha redio ya injiri ijulikanayo kama HHC ALIVE FM kupitia masafa ya 91.9fm. Redio hii iko chini ya kanisa la Highway of Holiness Church (HHC) lililo chini ya askofu Eugen Mulisa. HHC Alive FM maarufu kama SAUTI YA TUMAINI ilizinduliwa na Mkuu wa wilaya ya Nyamagana Mh Said Ally pamoja na jopo la maaskofu na wachungaji mbalimbali jijini hapa.
Kwa mujibu wa askofu Mulisa, maono ya kua na redio hiyo aliyapata mwaka 1996 na yametimia mwaka 2010 mwishoni hivyo ilichukua takribani miaka kumi na nne.
Yaliyotukia siku hiyo yalikua kama ifuatavyo
Mkurugenzi wa HHC Alive Fm Askofu Eugen Mulisa akitoa historia fupi
Kwa mujibu wa askofu Mulisa, maono ya kua na redio hiyo aliyapata mwaka 1996 na yametimia mwaka 2010 mwishoni hivyo ilichukua takribani miaka kumi na nne.
Yaliyotukia siku hiyo yalikua kama ifuatavyo
Neema Mwaipopo toka Dar-es-Salaam akiimba siku hiyo |
Jopo la Maaskofu na wachungaji waliokuwepo kushuhudia tukio zima,mwenye kipaza sauti ni mwenyekiti wa umoja wa wachungaji jijini Mwanza Askofu Charles Sekelwa. |
Umati mkubwa wa watu walijitokeza kuungana na 91.9 sauti ya tumaini |
Kihaile Band nao walikuwepo |
Eeeee hee he hee, My GOD is Good oooooo x 2 Everything is Double Double…………. Addo Nzwalla the keyboardist na mtangazaji wa kwa Neema Fm aliongoza kuimba nyimbo hiyo |
Watu ilibidi washuke jukwaani na kwenda kucheza na Neema Mwaipopo |
Baadhi ya watangazaji wa HHC ALIVE FM kutoka kushoto ni Nyamiti Kayora, Penina Kajura, Lady Carol pamoja na Meneja wa HHC ALIVE FM James Maganga. |
Mc wa shughuli Baba Paroko Mtumishi Job Kabwika alisimamia show |
Kihaile Band wakiwa Stejini |
Raaaaaha Jipe Mwenyeweeeeeeeeeeeeee |
Mch Magashi (Faith Word Church-Mwanza) wa kwanza kulia, akifuatiwa na Mch Jacob Kituu pamoja na Askofu Irene Nzwalla |
No comments:
Post a Comment