Tuesday, November 24, 2009

OMBI MAALUM

SALAMU WATUMISHI WA MUNGU POPOTE DUNIANI JINA LANGU NAITWA THOBIASI NICHOLAUSI MOSHA NI MTUMISHI MTENDA KAZI KATIKA KANISA LA ASSEMBLIES OF GOD MPONDA TEMEKE DAR ES SALAAM NAOMBA MUNIKUMMBUKE KATIKA MAOMBI KWANI NIMEANDAA TIMU YA VIJANA KWA AJILI YA KUSHUHUDIA NYUMBA KWA NYUMBA NA MTU KWA MTU KWA SIKU TATU NI MATUMAINI YANGU KUWA MUNGU AHUSIKE NA WATU WA KIJIJI CHA MPONDA --ROHO YA TOBA IWE NDANI YAO-HOFU YA MUNGU ITAWALW WAKATI WA HUDUMA -NGUVU ZA MUNGU ZITEMBEE NA WATENDAKAZI WAKATI WOTE -KAZI ZA SHETANI ZIHARIBIWE-KRISTO AJIPATIE MATEKAMUNGU AWABARIKI KWA MAOMBI YENUMIMI THOBIASI SIMU 0776 341971

No comments: