Tuesday, April 2, 2013

Kongamano la vijana wa Faith Word Church-Kanda ya ziwa

Kongamano la vijana wa Faith Word Church Kanda ya Ziwa.Faith Word Ministries inayoongozwa na Mchungaji Eratus Andrew ina matawi kadhaa,Dar es Salaam-Ghorofani,Bupu-Mkoa wa Pwani,Mbeya,Sengerema-Mwanza,Busariga-Mwanza,Ukerewe-Mwanza,Pittsburg-Marekani.
Kongamano hili limeanza jumapili tarehe 31/03/2013 na litaisha tarehe 09/03/2013.No comments: