Wednesday, January 30, 2008

Renee Lamira ameokoka

Unamfahamu huyu mwanamuziki wa bongo fleva?aliwahi kuwika sana kwenye muziki huo unaopendwa sana na watu wengi hapa Tanzania.hata sasa baadhi ya nyimbo zake zingali kuwika sana. Anaitwa Renee Lamira.
Inasemekana kwa sasa ameokoka na kumpa Yesu maisha yake.Niliambiwa anasali pale makuti kawe kwa Apostle Ndegi.

No comments: