Friday, March 19, 2010

ada za maombi

“Toa sadaka yako ili kuwezesha kipindi cha tutashinda tuma katika account halafu nitumie meseji kwa simu namba 0713725473 kwamba umetuma kiasi gani mimi nitakupigia halafu uniambie mambo yako kumi nitakuombea”
- Anthony Lusekelo (Mzee wa Upako), Channel 10, 25 June 2008


Nukuu kutoka Strictly Gospel

1 comment:

Anonymous said...

UTAPELI, UTAPEL, UTAPELI... YESU HAKUMTOZA MTU PESA. KAMA MMEKOSA KAZI TAFUTENI KAZI NYINGINE MFANYE. ACHENI KABISA KUJITAJIRISHA KWA KUTUMIA JINA LA YESU. MOTO MKALI UNAWASUBIRI JEHANAMU!!!!!!!!