Monday, March 8, 2010

Mchungaji Katunzi vs Wacungaji wavaa pete


Mchungrji Florian Katunzi wa EAGT city center (japo kwa sasa anaendesha ibada za maombezi kule saba saba) amewajia juu wachungaji wanaovaa pete akidai kuwa wengi wao wanazitumia kwa nguvu za kichawi.Akinukuliwa na baadhi ya vyombo vya habari ,Mchungaji huyo kijana anayekuja kwa kasi kati watumishi waliopo hapa Tanzania, amedai kuwa watumishi wengi wanaovaa pete hizo wanazitumia kinyume na maagizo ya Biblia takatifu.
mlima sayuni inamtafuta Pastor Katunzi ili kuweza kufanya naye maojiano naye maalumu na tutawaletea ukweli wa mambo muda si mrefu.

1 comment:

Maranatha said...

Can't wait to hear his views in details!