Thursday, November 8, 2007

Kunena kwa lugha

Huwa najiuliza sana wakati mwingine, inawezekana vipi mtu ananena kwa lugha na wakati huo huo bado ni mtenda maovu mkubwa.Tunao wengi makanisani kwetu, utaona mtu ananena kwa lugha kirahisi rahisi lakini wakati huo huo anakuta ni mzinifu, mwongo mla rushwa na mtoa rushwaa na kadhalika.
hili linanisumbua sana akili yangu.

No comments: