Monday, July 23, 2007

EAGT na tiba za sumaku

Jana nimesoma habari za kunishangaza sana kwenye gazeti la nyakati..eti kanisa moja lililo chini ya la EAGT hapa dar karibu na fire linatumia pete,mikufu,bangili na hellen zenye nguvu za ajabu za sumaku kuponya waumini wake...??

hii habari imenishtua sana ...najiuliza kanisa la Kristo linaelekea wapi sasa...maana hii na hatari sana kwa kanisa la Kristo..na kuna mdau mmoja kaniambia kuwa kuna watu wanaponywa na nguvu za ajabu anazotumia mchungaji wa kanisa hilo..

nasikia akivaaa mkufu huo wa jabu basi kama kuma mtu anahitaji muujiza wowote anapokea uponuaji....eti wapendwa kuna mtu yeyeto anataarifa zaidi za jambo hili....

11 comments:

Anonymous said...

hivi hizi habari ni za kweli ni ni uzushi tu....inawezekana kweli mch. mwakiborwa ninamvyomjua mimi akafanya madudu haya...
hebu tupo story zaidi servant

Aneth Mhuville said...

Bwana asifiwe watumishi.Mimi nimesoma gazeti la nyakati la jana.hizi habari ni za kweli kwa anayetaka kujua zaidi anunue gazeti la nyakati la jana jumapili

Anonymous said...

Hii kama ni kweli itakuwa ni hatari kwa kanisa la leo,watu tumtegemee Roho Mtakatifu atusaidie tusiangukie kwenye imani za ajabu ajabu

Anonymous said...

huyu mchungaji mwakiborwa anatafuta kujaza kanisa kwa kutumia nguvu za uchawi.
mapigo ndo yameshaanza,maana ameenda kuchunga kanisa asilolianzisha.

Anonymous said...

HIVI MNA UHAKIKA NA MNACHOKIANDIKA HAPA AU NI UMBEA TU WA KILOKOLE?

Mwinjilisti John said...

anony wa July 23, 2007 10:52 PM kama ingekuwa uwongo magazeti ya kikrsito na radio za kikristo yasingeandika na kutangaza.the point here ni kwamba watu wamekosa mafundisho ya kweli ya neno la Mungu na wamejikuta wanafanya mambo kwa kufuata mkumbo.this is true story kwani I was there when bishop matingisa na mabishop wengine walipotembelea kanisani na kuliweka hili suala sawa kwa kuwatuliza washirika.na huyo pastor bruno mwakiborwa alisimama na kukiri kutumia hayo mabangili na akaahidi kuacha kuyatumia.sasa swali hapa la kujiuliza wapendwa ni kwamba inamaana siku zote hizo amekuwa akitumia nguvu hizo za giza ili kuwafanya washirika wake waamini kuwa anazo nguvu za Mungu wakati sio? nadhani sasa wakati umefika kwa wana wa Mungu kujilikana na wana wa ibilisi kujitenga.
wenu katika utumishi.
mwinjilisti John. K.

Anonymous said...

HUU NDIO TUNAITA UMBEA

Anonymous said...

Hivi wapendwa hamna kazi za kufanya?

Anonymous said...

LAZIMA ASIMAMISHWE HUDUMA NA AJIELEZE WAPI KATOA TAALUMA YA SUMAKU

Anonymous said...

KWELI WEB HII IPO SAWA

Anonymous said...

HAKUNA NABII WA MWISHO KWA JINA LA ELIYA...MAANA ELIYA ALISHAKUJA
USHAHIDI NI HUU
MATAYO 11:14 NA KUHAKIKISHWA KWA MATAYO 17 :9-13
MATTHEW 17:9- 13
9As they were coming down the mountain, Jesus instructed them, "Don't tell anyone what you have seen, until the Son of Man has been raised from the dead."
10The disciples asked him, "Why then do the teachers of the law say that Elijah must come first?" 11Jesus replied, "To be sure, Elijah comes and will restore all things.

12But I tell you, Elijah has already come, and they did not recognize him, but have done to him everything they
wished. In the same way the Son of Man is going to suffer at their hands."

13Then the disciples understood that he was talking to them about John the Baptist.