Monday, July 16, 2007

rose mhando

siku alipochukua tuzo za kili music award....
wadau mnasemaje kuhusu hili..

5 comments:

Anonymous said...

nasikia huyu ameolewa na mume wa mtu ati...

Anonymous said...

Huhu mdada anatugeresha. Ki msingi ni msanii wa mziki wa mahadhi ya injili lakini sio mwimba sifa wa Bwana. Kusifu kunawapasa wanyofu wa moyo. Huyu sio mnyofu kwani hata CD/wimbo "walionizalisha wamenikimbia" unaonesha wazi kuna shida kubwa.
Kila mwenye sikio naasikie.

Anonymous said...

nasikia amekuja huku marekani kwa ziara ya kimuziki.hivi yupo mji gani?

Baba K,

Houston

Godhold said...

Kama umeokoka na unamjua Mungu usiwaseme wakristo wenzako waombee. Kama una evidence ya jambo lolote nenda Ki-biblia umwonye mtu pekee yako ukishindwa chukuwa mwenzako mmoja au wawili, na kwa Upendo ukijiangalia mwenyewe, kwani sote tuna madhaifu ya hapa na pale. kama wajiamini sana basi chukuwa Jiwe tupa, lisipokurudia!!!?