Wednesday, July 18, 2007

Utoaji wa mimba kwa wapendwa

Kuna mdau kaniuliza hivi...na mimi naiweka kama ilivyo..
Hi, I hope were are all doing fine,nina swali moja Je ni halali kwa wapendwa kutoa mimba ama sio halali, kwa vinginevyo ni dhambi kutoa mimba ama sio dhambi ?

1 comment:

Anonymous said...

mimi nadhani hili si swala la kujadili...maana utoaji wa mimba ni dhambi..no mjadala kwa hili..