Wednesday, September 15, 2010

Haki sawa..!


Wanawake wa Kampala hawako nyuma katika shughuli za kiuchumi.
Pichani ni dereva wa tax (cab) Juliana miaka 34, akiwa kazini kusubiria abiria.
Hapa ilikuwa ni baada ya kumshuhudia habari za YESU na kugundua kuwa anazifahamu kwa kina ila masumbufu ya maisha ndio yamemfanya asifanye maamuzi ya kumfuata.
Kilichonivutia zaidi ni hiyo namba ya cab hapo ubavuni ni kama namba ya mtandao wa tigo.

No comments: