Friday, September 3, 2010

Mtumishi wa Mungu Prosper Mgalama

Mtumishi wa Mungu Prosper Mgalama amefungua kazi ya Mungu Chanika, nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam.Ni moja ya makanisa machanga yaliyoanza ndani ya mwaka mmoja mmoja na yanafanya vizuri sana.
Nilipata neema ya kutembelea kanisani kwake jumapili iliyopita kuanzia ibada ya asubuhi hadi ya jioni kulipokuwa na changizo ya ununuzi wa uwanja mkubwa wa kujenga kanisa na kituo cha maendeleo ya kijamii.
Mlima Sayuni tutawaletea maelezo ya kina kuhusu huduma ya mtumishi wa Mungu Prosper.

No comments: