Friday, February 15, 2008

Waislam waandamana kupinga ziara ya George Bush


Waislam mjini Dar es Salaam leo wameandamana kupinga ujio wa ziara ya kiserikali ya rais wa Marekani George W. Bush.

Maandamano hayo yalianzia baada ya swala ya ijumaa mchana huu na kupitia barabara za bibi titi, ali hassan mwinyi na morogoro hadi viwanja vya jangwani.


No comments: