Thursday, February 7, 2008

Waziri mkuu Edward Lowasa atangaza kujiuzulu


Waziri mkuu wa Tanzania Edward Lowasa ametangaza kujiuzulu asubuhi hii bungeni huko Dodoma.
Hata hivyo speaker wa bunge Samweli Sitta ameharisha kikao cha bunge hadi leo jioni saa 11, tutawapa habari kamili kadri zitakavyotujia.
Naomba kutoa ombi kwa watanzania wote tumwombee Dr. Harison Mwakyembe.

No comments: