Saturday, September 13, 2008

Mama wawili kuingiza sokoni albam ya injili

Muimbaji wa injili wa siku nyingi anayejulikana kwa jina la mama wawili ameuambia mlima sayuni kuwa anatarajia kuingiza sokoni albam yake ya kwanza ya injili siku si nyingi.
Pichani anaonekana akirekodi mkanda wa video wa moja kati ya nyimbo zilizoko katika albam hiyo katika kanisa la Faith Word Church Mnazi Mmoja kwa Pastor Andew.No comments: