BREKING NYUUUUUZZZZZZZ: JK AANGUKA JUKWAANI JANGWANI
RAIS JAKAYA KIKWETE AMEANGUKA JUKWAANI NA KUKIMBIZWA KUPATA HUDUMA YA KWANZA WAKATI AKIHUTUBIA MAELEFU YA WAKAZI WA JIJI LA DAR KATIKA UZINDUZI WA KAMPENI YA UCHAGUZI MKUU MUDA HUU. TUKIO HILI LIMETOKEA DAKIKA TANO ZILIZOPITA NA KIASI CHA DAKIKA NANE TOKA AANZE KUHUTUBIA. HIVI SASA ANAPATA HUDUMA YA KWANZA NYUMA YA JUKWAA NA KATIBU MKUU WA CCM MH. YUSUF MAKAMBA AMEWAHAKIKISHIA WANANCHI KWAMBA HALI SI MBAYA NA ATARUDI
Source: Issa Michuzi Blog
No comments:
Post a Comment