Thursday, December 9, 2010

Kanisa la mtandaoni

Bwana Yesu Asifiwe!

Hii ni kuwafahamisha wote ambao wamekuwa wakibarikiwa na Huduma ya Injili katika www.lema.or.tz juu ya mabadiliko makubwa katika Huduma hiyo.

Kuanzia tarehe 8 December 2010, Huduma ya Injili iliyopatikana katika www.lema.or.tz imebadilishwa rasmi na kuwa:

Hivyo kuanzia tarehe tajwa, karibu uendelee kubarikiwa na Neno la Mungu katika website hii mpya,www.thekingdomnews.org. Tafadhali wafamishe na wengine pia.

Kama utapenda, tafadhali saidia kwa kuitangaza website hii mahali ulipo au popote pale. Nimeandaa tangazo moja linaloitangaza www.thekingdomnews.org ambalo unaweza kuprint na kubandika mahali uonapo kuwa panafaa, ofisini kwako, shuleni/chuoni au popote pale. Kuchapisha tangazo hilo, bonyeza hapa.

Utukufu kwake Yesu,
Frank Lema,
The Kingdom News.
www.thekingdomnews.org
December 9th,2010.

No comments: