Bwana Yesu Asifiwe!
Hii ni kuwafahamisha wote ambao wamekuwa wakibarikiwa na Huduma ya Injili katika www.lema.or.tz juu ya mabadiliko makubwa katika Huduma hiyo.
Kuanzia tarehe 8 December 2010, Huduma ya Injili iliyopatikana katika www.lema.or.tz imebadilishwa rasmi na kuwa:
Hivyo kuanzia tarehe tajwa, karibu uendelee kubarikiwa na Neno la Mungu katika website hii mpya, www.thekingdomnews.org. Tafadhali wafamishe na wengine pia.
Asante.
Ili Yesu Kristo ajulikane sana;
Frank Lema,
The Kingdom News.
www.thekingdomnews.org
December 9th,2010.
No comments:
Post a Comment