Thursday, December 9, 2010

Pepo tokaaa kwa jina la YESU!
Pichani muhubiri wa injili akimwombea mtu aliyekuwa na ugonjwa akili (kichaa) mbele ya umati wa watu waliojazana katika viwanja vya soko kuu la kariakoo.