Naomba na mimi niiwakilishe kama ilivyo.
BWANA WETU YESU KRISTO ASIFIWE MT!!!!!!!!!
Nihabari njema kutoka kwa Bwana Yesu ameniwezesha Mimi kufanya maajabu huku Ujerumani tena jana katika mashindano ya km 7/6 nilikuwa wa 3 nailikuwa mbio kubwa .NILIMOMBA SANA MUNGU: kwahiyo Mtade jaribu kuitoa habari hii SAYUNI NA UTATU INGAWAJE SIJAPATA PICHA ZAKE.
Naninawashukuru nanyi kwa ushirikiano wenu wa maombi juu yangu ninabuni kusema asante.
nimebakiza mbio moja tu ambayo itakuwa juma pili hii inayokuja baada ya hapo narejea TZ
Wasalimie wote huko DAR nasema tena wewe wasalimie hata kama hawanifahamu
wewe wambie hivi kuna mwanariadha moja wa tanzania anawasalimia
KAOKOKA MWAKA JANA!!!!????PHAUSTIN BAHA SULLE
HALELUYA??????H??
FURAHA MOYONI---Ukiwa na Hekima ya MUNGU dunia haikutesi??
Utukufu kwa YESU KRISTO wa Nazareth na ninaomba wanasayuni wote tulioduniani kote tumwombee mtumishi huyu wa Mungu anaeiwakilisha nchi yetu vyema huko ughaibuni na hivyo jina la Bwana kutukuzwa kupitia mtumishi huyu.
1 comment:
Hongera sana Phausin Baha Sule! Nafurahia mafanikio yako na Mungu akubariki sana! Songa mbele na Yesu mtangaze kwa bidii sana kila kona utakapokuwa ukipita watu wamuone Yesu ndani ya riadha! Amina!
Post a Comment