Sunday, November 9, 2008

Bunge laahirishwa hadi mwakani: MAOMBI YA WANASAYUNI :LEO TUPO SIKU YA 19

Waziri mkuu Mizengo Pinda amehairisha kikao cha bunge hadi mwakani.Suala la OIC na mahakama ya kadhi halikuchukua nafasi sana katika kikao hiki kama ilivyotarajiwa na wengi.Mungu wetu bado ni mwaminifu na fadhili zake ni za milele.


WAPENDWA WANA SAYUNI.SISI KAZI YETU NI KUOMBA TU.LEO TUPO SIKU YA 19 YA MAOMBI YETU.NENO LA KUSIMAMA NALO NI LILE LILE LA 2NYAKATI 7:14.
KAMA UNAPENDA KUUNGANA NA SISI KUHUSU MAOMBI HAYA TUANDIKIE KWENYE EMAIL HII: MIWLC@YAHOO.COM

if my people, who are called by my name, will humble themselves and pray and seek my face and turn from their wicked ways, then will I hear from heaven and will forgive their sin and will heal their land. Now my eyes will be open and my ears attentive to the prayers offered in this place

No comments: