Wednesday, November 19, 2008

Kurudi kwa YESU (The coming of Lord JESUS)

Bwana asifiwe wapendwa,
Hebu soma hii habari kwa makini afu uitafakari kabla hatujaanza somo letu kuhusu kuja kwa Bwana wetu Yesu na kutuchukua sisi tuliomwamini kwenda naye mbinguni kuishi milele.
One thing I want you to put in your mind is that..the second coming of Jesus is real and will soon happen at the time that you do not expect.Behold He is coming on the clouds ...are you ready to meet Him on the air?

2 Wathesalonike 2:1-
1. Ndugu, kuhusu kuja Kwake Bwana wetu Yesu Kristo na kukusanyika kwetu pamoja mbele Zake, tunawasihi, 2.msiyumbishwe kwa urahisi wala msitiwe wasiwasi na roho wala neno au barua inayosemekana kuwa imetoka kwetu, isemayo kwamba siku ya Bwana imekwisha kuwako. 3.Mtu ye yote na asiwadanganye kwa namna yo yote kwa maana siku ile haitakuja mpaka uasi utokee kwanza na yule mtu wa kuasi adhihirishwe, yule ambaye amehukumiwa kuangamizwa kabisa. 4.Yeye atapingana na kujitukuza juu ya kila kitu kiitwacho Mungu au kinachoabudiwa, ili kujiweka juu katika hekalu la Mungu, akijitangaza mwenyewe kuwa ndiye Mungu.
5.Je, hamkumbuki ya kwamba nilipokuwa pamoja nanyi niliwaambia mambo haya? 6.Nanyi sasa mnajua kinachomzuia, ili kwamba apate kudhihirishwa wakati wake utakapowadia. 7.Maana ile nguvu ya siri ya uasi tayari inatenda kazi, lakini yule anayeizuia ataendelea kufanya hivyo mpaka atakapoondolewa. 8.Hapo ndipo yule mwasi atafunuliwa, ambaye Bwana Yesu atamteketeza kwa pumzi ya kinywa Chake na kumwangamiza kabisa kwa ufunuo wa kuja Kwake. 9Kuja kwa yule mwasi kutaonekana kana kwamba ni kutenda kazi kwake Shetani ambaye hutumia nguvu zote, ishara, maajabu ya uongo 10.na kila aina ya udanganyifu kwa wale wanaoangamia kwa sababu walikataa kuipenda kweli wapate kuokolewa. 11.Kwa sababu hii, Mungu ameruhusu watawaliwe na nguvu ya udanganyifu, ili waendelee kuamini uongo 12.na hivyo wote wahukumiwe ambao hawakuamini ule ukweli bali wamefurahia uovu.
Simameni Imara.2 Thessalonians 2

1 Now, brethren, concerning the coming of our Lord Jesus Christ and our gathering together to Him, we ask you, 2 not to be soon shaken in mind or troubled, either by spirit or by word or by letter, as if from us, as though the day of Christ[a] had come. 3 Let no one deceive you by any means; for that Day will not come unless the falling away comes first, and the man of sin[b] is revealed, the son of perdition, 4 who opposes and exalts himself above all that is called God or that is worshiped, so that he sits as God[c] in the temple of God, showing himself that he is God.5 Do you not remember that when I was still with you I told you these things? 6 And now you know what is restraining, that he may be revealed in his own time. 7 For the mystery of lawlessness is already at work; only He[d] who now restrains will do so until He[e] is taken out of the way. 8 And then the lawless one will be revealed, whom the Lord will consume with the breath of His mouth and destroy with the brightness of His coming. 9 The coming of the lawless one is according to the working of Satan, with all power, signs, and lying wonders, 10 and with all unrighteous deception among those who perish, because they did not receive the love of the truth, that they might be saved. 11 And for this reason God will send them strong delusion, that they should believe the lie, 12 that they all may be condemned who did not believe the truth but had pleasure in unrighteousness

No comments: