Hii ni Blogu ya watu wote...uwe huru kuchangia neno lolote unaloona linafaa kwa ajili ya kuujenga mwili wa Kristo
Friday, January 30, 2009
Mchungaji awa Mbunge mbeya vijijini
Mbunge mpya wa Mbeya Vijijini Mchungaji Luckson Mwanjale akila kiapo Bungeni Mjini Dodoma leo.
Mchungaji Mwanjale anakuwa ni mchungaji wa kwanza nchini kuchaguliwa kushindana katika kinyang'anyiro cha uchaguzi na kupiga kampeni na hatimaye kuibuka mshindi wa kiti hicho kwa kupitia tiketi ya CCM.
Kwa hayo yote, BWANA YESU ASIFIWE!! Sisi tunamwombea huyu mchungaji kwa Jina la Yesu ili upako wa Roho Mtakatifu uwe juu yake, sote tukitambua kuwa uongozi ni aina mojawapo ya utumishi kutoka kwa Baba Mungu pia.
1 comment:
Kwa hayo yote, BWANA YESU ASIFIWE!!
Sisi tunamwombea huyu mchungaji kwa Jina la Yesu ili upako wa Roho Mtakatifu uwe juu yake, sote tukitambua kuwa uongozi ni aina mojawapo ya utumishi kutoka kwa Baba Mungu pia.
BWANA YESU ASIFIWE!
Post a Comment