Friday, January 30, 2009

Mchungaji awa Mbunge mbeya vijijini

Mbunge mpya wa Mbeya Vijijini Mchungaji Luckson Mwanjale akila kiapo Bungeni Mjini Dodoma leo.



Mchungaji Mwanjale anakuwa ni mchungaji wa kwanza nchini kuchaguliwa kushindana katika kinyang'anyiro cha uchaguzi na kupiga kampeni na hatimaye kuibuka mshindi wa kiti hicho kwa kupitia tiketi ya CCM.

1 comment:

savedlema said...

Kwa hayo yote, BWANA YESU ASIFIWE!!
Sisi tunamwombea huyu mchungaji kwa Jina la Yesu ili upako wa Roho Mtakatifu uwe juu yake, sote tukitambua kuwa uongozi ni aina mojawapo ya utumishi kutoka kwa Baba Mungu pia.

BWANA YESU ASIFIWE!