Mtade na Frank Lema wamekutana live jana katika viwanja vya jangwani
katika tamasha la Injili lililokuwa na waimbaji mahiri kama Don Moen na
Nicole Mullen.Mtade na Lema hawajawahi kukutana kwa miaka zaidi ya sita
tangu wafahamiane na kufanya kazi pamoja katika mtandao huu wa sayuni.
No comments:
Post a Comment