Saturday, November 6, 2010

Global Leadership Summit -2010-Kenya


Global Leadership Summit 2010-Kenya yafana sana.Kuanzia tarehe 4 hadi 6 mwezi huu,zaidi ya watu 2000 walihudhuria (kutoka Kenya,Uganda,Rwanda,Burundi na Tanzania).
Ujumbe wa Tanzania uliwakilishwa na Pastor Mitimingi (many trees) ,Pastor Abel Orgenes na Mtade.

Global Leadership Summit 2010-Tanzania itafanyika tarehe 26-27/november/2010 katika ukumbi wa City Christian Centre kuanzia saa 2 asubuhi hadi saa 11 jioni.
Kwa mujibu wa kama ya maandalizi watu wanaendelelea kujiandikisha kwa ada ya 20,000/- kwa mtu mmoja (gharama za mafunzo kwa siku mbili,vitabu,stationaries,chakula,maji na mengineo)

Piga simu hii kwa maelezo zaidi kama unataka kujiandikisha : 0713 18 3939.

No comments: