Mchungaji Msigwa Achukua Kiti Iringa Mjini
MGOMBEA wa CHADEMA jimbo la Iringa mjini Mchungaji Peter Msigwa ameshinda kiti hicho baada ya kujizolea kura 17742 dhidi ya kura 16916 alizopata mgombea wa chama cha mapinduzi (CCM) Monica Mbega ambaye ni mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro.
No comments:
Post a Comment