Monday, November 29, 2010

Global Leadership Summit Tanzania-2010 ilivyofana



Picha ya kwanza ni Pastor Mitimingi (mwandaaji wa GLS-Tanzania 2010) akiwa na mke wake na mtoto wao Precious.Pembeni ni James Mwang'amba (mjasiriamali,mtangazaji,mtaalamu wa lugha na mshauri anayejitegemea), na wa kwanza ni Alice (mkurugenzi msaidizi wa GLS duniani) wakibadirishana mawazo.

Chini pichani ni washiriki wa GLS TZ-2010 wakionekana kuguswa na mahubiri ya Bishop. TD Jakes.

No comments: