Tuesday, November 2, 2010

Mchungaji mwingine ashinda Ubunge Karatu

Taarifa kutoka karatu ni kwamba pastor israel ameshinda jimbo la karatu mjini

chadema - 46 000+

ccm - 20 000 +

Mbunge mteule kwa kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika jimbo la Karatu,mchungaji Israel Yohana Natse ameshinda uchaguzi mkuu wa ubunge-2010.Sehemu ya umati wa wananchi wa mjini Karatu wakimsikiliza mgombea wa Chadema katika jimbo la karatu mchungaji Israel Yohana Natse

No comments: