Mtade akiwa na padri wa OBSG , Gent,Belgium wakilichambua Neno.Kifungu kilichokuwa kinachunguzwa ni Yahana 3:16.Baada ya mjadala mkali ikalazimika kuletwa Biblia kubwa kabisa yenye uzito wa kilo 8 ili kuweza kupata ufasaha wa maandiko. Kazi ya kushuhudia Neno hapa Belgium ni ngumu sana.Maana wazee ndio wanaenda kanisani na watoto wadogo sana.
Hata hivyo mada haikuweza kuisha kwa hiyo hadi kesho tena kila mtu anaenda kuchunguza tena maandiko.
No comments:
Post a Comment