Tuesday, July 20, 2010

Mbinu za kuhubiri Injili

Kuhubiri ulaya lazima uwe na mbinu mbali mbali za kuufikisha ujumbe kwa wale uliowakusudia. Moja ya njia rahisi za kuhubiri injili huku ni kwa njia ya maigizo.
Pichani ni baadhi ya vijana waliokoka wakihubiri Injili ya Yesu Kristo kwa njia ya maagizo na tukio hili lilivuta watu wengi sana kwa YESU.

No comments: