Sunday, July 4, 2010

Familia ya Mtade yaongezeka tena

Bwana YESU asifiwe wana sayuni.Kwa mara nyingine tena Mungu wetu ameiongeza familia ya mwanasayuni kwa kuwapatia mtoto wa kike mzuri na mrembo sana hapa Ghent, Belgium.Hali ya mtoto (Makinyemi),mama na baba wote wanaendelea vyema.
Picha hapo chini ni Mama Chinyemi akiwa na Baba Chinyemi pamoja na mtoto mchanga Makinyemi.
Tunawashukuru wale wote walikuwa wakituombea na Mungu amefanya kama alivyoahidi.
Mungu awabariki sana.

By Mtade (Baba Chinyemi,Baba Makinyemi)


2 comments:

Limbe Juma said...

Hongereni sana wapendwa. Mungu Azidi kuwabariki sasa na hadi utimilifu wa dahali. Na huyu malaika wake mchanga aliyekuja kupitia kwenu na akabarikiwe sana! AMEN

Mtade said...

asante Limbe kwa kututakia baraka.Mungu akubariki pia.