Saturday, July 17, 2010

Wali na Sombe ndani ya Brussels


Nimekuja kuwatembelea wapendwa hapa "Matongee",katikati ya jiji la Brussels, ni kama kariakoo tu.Baada ya kushuhudiana na wapendwa wa mahali hapa tukaenda kupata wali samaki wa kukaanga na sombee..(kisamvu.)

Nikitoka hapa naenda kwenye maombi ya kuiombea Belgium.No comments: