Hii ni Blogu ya watu wote...uwe huru kuchangia neno lolote unaloona linafaa kwa ajili ya kuujenga mwili wa Kristo
Thursday, February 21, 2013
PICHA ZA MAZISHI YA PADRI EVARISTUS MUSHI VISIWANI ZANZIBAR
Picha za mazishi ya padri Evarist Mushi aliyeuwawa kwa kupigwa kwa
risasi asubuhi ya tarehe 17 mwezi huu huko visiwani Zanzibar akijiandaa
kwenye ibada kanisa katoliki parokia ya Minara miwili visiwani humo
ambapo watu wasiofahamika wakiwa kwenye pikipiki walimpiga risasi padri
huyo akiwa ndani ya gari lake na kufariki dunia.
No comments:
Post a Comment