Wednesday, August 6, 2008

Uchaguzi TAG

Habari zaidi za matokeo ya uchaguzi wa TAG uliofanyika leo hapa jijini Dar zinasema kuwa mchungaji Magnus Mhiche(Mbagala Kizuiani) amechaguliwa kuwa makamu wa askofu wa Kanisa hilo.Nafasi ya katibu mkuu imekwenda kwa mchungaji Ronald Swai ambaye ni mkuu wa chuo cha Biblia Dodoma kilichoko chini ya kanisa hilo.
Mungu awabariki wachungaji wa TAG na washirika wote wa kanisa hilo kongwe zaidi miongoni mwa makanisa ya kipentekoste hapa nchini.

No comments: