Hii ni Blogu ya watu wote...uwe huru kuchangia neno lolote unaloona linafaa kwa ajili ya kuujenga mwili wa Kristo
Saturday, August 23, 2008
"Women Wearing Pants in Church"
Wanawake kuvaa suruali makanisani..haya hayapo huku kwetu Afrika tu ila yapo hata huko majuu kwa wenzetu Sikiliza hapa Bishop G.E. Patterson anapasua jipu... anafundisha kuhusu tofauti ya tradition na doctrine..
No comments:
Post a Comment