Saturday, August 23, 2008

Ushuhuda..! Ushuhuda..! Ushuhuda..!wapendwa bwana asife!
nimeona niwashirikishe hili alilonitendea mungu nilikuwa nikieendesha gari hiyo nikitoka dar kwenda tunduma nikiwa spedi 180 tairi ya nyuma ikapasuka kabla sijakaa vzuri tairi ya mbele kulia nayo ikapasuka gari ikaanza kuyumba sana mwenzangu aliyekuwa mbele alikuwa kalala alipo amka akaona gari inavyoyumba akataka kunisaidia ndipo gari ilipoacha njia na kuanza kupinduka sikumbuki ni mara ngapi ila iliviringika vya kutosha kama unavyoweza kuona hizo picha sikuumia wala kuchubuka ila mwenzangu tu ndio aliumia tukampeleka hosp namshukuru mungu kwa ajali hii na nyingi alizoniepusha amen.
ni mimi steve mushi

No comments: