Wednesday, May 7, 2008

AHADI YA JUMATANO

Isaya 41:10

Usiogope kwa maana mimi ni pamoja nawe;usifadhaike, kwa maana mimi ni Mungu wako;nitakutia nguvu naam nitakusaidia naam, nitakushika kwa mkono wa kuume wa haki yangu.

Soma ahadi za Mungu wetu kila siku at Sayuni blog.

Kalenge

No comments: