Monday, May 19, 2008

Ushuhudiaji Zanzibar


Kufanya ushuhudiaje sehemu kama Zanzibar inahitaji trik za hali ya juu.Wakati mwingine nililazimika kwenda kunywa urojo pale Forodhani na wakati mwingine nilienda kunywa shurba (juice ya tende) pale Mkunanzini ili niweze kupata walao dakika 5 za kuongea na ndugu zetu hawa maneno ya YESU KRISTO.
Pichani ya kwanza Mtade akiwa anakatiza mitaa ya mji mkongwe kutafuta kondoo.
Picha ya pili Mtade akiwa na wenyeji wake wakinywa juice inaiyoitwa shurba (juice ya tende).

No comments: