Saturday, May 3, 2008

JIUNGE KATIKA MAILING LISTS YA INJILI

Bwana Yesu asifiwe!Ninaamini kuwa wote mnabarikiwa sana na kile Mungu anachofanya kupitia Sayuni,Tunamtukuza Mungu sana kwa namna ambavyo amekuwa akijibu maombi ya watu wanaotuma hapa Sayuni, Neno lake n.k, tunamaanisha tukisema hivyo;TUNAMTUKUZA YEYE TUU.Leo tunayofuraha kuwatangazia huduma mpya ya mailing lists.Hii ni huduma itakayokuwezesha wewe kupokea ujumbe wa Neno la Mungu moja kwa moja kwenye email yako mara kwa mara. Unachotakiwa kufanya ni kujiunga tuu na utaanza kupokea Neno la Mungu kwenye email yako.NANMNA YA KUJIUNGA:Ni rahisi sana:
Andika email yenye subject:"MAILING LISTS"
Sehemu ya message ya email andika "NAOMBA NIUNGANISHWE KWENYE MAILING LISTS" na andika email yako mbele yake.
Tuma hiyo email kwenda kwa:
savedlema@yahoo.com
Hapo itakuwa tayari kabisa.Anza kujinga sasa.

**Maelezo zaidi ya kujiunga na mailing lists hii na kumuunganisha mwingine yanapatikana katika website: http://www.lema.or.tz/ ,ukurasa wa Mailing Lists.
Mbarikiwe na mtuombee na sisi.

1 comment:

Anonymous said...

Amen ubarikiwe mtumishi